Uzinduzi wa miundombinu ya MRADI WA MAZIWA
30 May, 2024

Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki Kituo cha TALIRI Tanga Dkt. Zabron Nziku (aliyeshika nyasi) akielezea masuala ya malisho bora kwa Balozi wa Ireland Tanzania (aliyavaa kofia ) na Viongozi wengine mbalimbali akiwemo Mhe. Prof. Riziki Shemdoe (wa katikati)katika halfla ya uzinduzi wa miundombinu iliyojengwa kupitia mradi wa maziwa faida TALIRI