Huduma za Ushauri wa Kitalaamu
TALIRI ina watalaamu wabobezi kwenye eneo la mifugo. Taasisi inatoa huduma za ushauri wa kitalaam katika maeneo mbalimbali ya mifugo ikiwa ni masuala ya utafiti au uzalishaji kwa gharama nafuu sana.