Huduma ya Kukodisha Mitambo
Tunakodisha zana za kilimo kama matrekta, mowers, baler, rake, forage chopper, backhoe loader, wrapper na mitambo mingiine iliyopo katika vituo vyote TALIRI.