Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Malisho na Chakula cha Mifugo

TALIRI inafanya utafiti wa wa malisho na vyakula vya mifugo kama ifuatavyo:

1. Kuhifadhi, kuendeleza na kuboresha malisho ya asili aina ya nyasi, miti malisho na mikundekunde

2. Kufanya utafiti, kuibua na kusambaza mbegu bora za malisho

3. Utafiti, kuendeleza na kusambaza tekinolojia za kuzalishe lishe na vyakula bora vya mifugo

4. Kufanya utafiti wa kuzalisha protini mbadala kwa kutumia wadudu wa kufungwa kama mende, nzi na panzi

5.Kufanya utafiti wa tekinolojia rahisi za uvunaji, ushindikaji na uhifadhi wa malisho na vyakula vya mifugo