Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Wanyama Wasiocheua

TALIRI inafanya utafiti wa wanyama wasiocheua kama kuku, bata, kanga, sungura, simbilisi, kwale na nguruwe kwa malengo yafuatayo:

1. Kuhifadhi, kuendeleza na kuboresha wanyama wasiocheua wa asili

2. Kuhifadhi, kutafiti, kuendeleza, kuboresha na kusambaza kuku wa asili aina ya Horasi

3. Utafiti, kuendeleza na kusambaza nguruwe bora