Ng'ombe wa Nyama
Tunauza Mitamba ya ng'ombe bora wa nyama. Aina ya ng'ombe wa nyama tulionao ni;-
- Beef master x Mpwapwa
- Muse x Mpwapwa
- Muse x Boran
- Beef master x Boran
- Sahiwal x Mpwapwa x Boran
- Sahiwal x Mpwapwa
- Fipa
- Singida white x Mpwapwa
- Ankole
- Singida white
- Iringa red
- Bonsinara x Mpwapwa
- Muse x singida white