TALIRI ,MINISTRY AND IFAD DISCUSS C-SDPT PROJECT
22 Jul, 2025

Viongozi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Prof. Erick Komba (wa katikati mwenye kaunda suti ya rangi ya maziwa) wakiwa kwenye picha ya pamoja Viongozi kutoka wizarani pamoja na Maafisa kutoka Taasisi ya Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo (IFAD) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Bw. Sakphouseth Meng (wa kwanza kulia kwa Prof. Komba) mara baada ya kujadili utekelezaji wa Mradi wa Mabadiliko ya Sekta ya Maziwa Endelevu Wenye Kuzingatia Hali ya Hewa “The Climate - Smart Smallholder Diary Transformation Project (C - SDTP) unaotekelezwa na TALIRI kwa ufadhili wa IFAD Tanzania.