Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
WATUMISHI TALIRI WAKIWA KWENYE MAANDAMANO YA MEI MOSI, SINGIDA
12 May, 2025
WATUMISHI TALIRI WAKIWA KWENYE MAANDAMANO YA MEI MOSI, SINGIDA

Watumishi TALIRI wakiwa kwenye maandamano ya sherehe ya Mei Mosi (Siku ya Wafanyakazi) Mkoani Singida ndani ya viwanja vya Bombadia ambapo kitaifa siku hiyo imeadhinishwa mkoani hapo.

Huku Mgeni rasmi akiwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Ikienda sambamba na kauli mbiu isemayo “Uchaguzi Mkuu 2025 Utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki”