Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
MKURUGENZI TALIRI ATETA JAMBO NA RAIS WA AFRINT BIO SOLUTION, SABASABA
19 Jul, 2024
MKURUGENZI TALIRI ATETA JAMBO NA RAIS WA AFRINT BIO SOLUTION, SABASABA

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Prof. Erick Komba (wa Pili kushoto) akiambatana na Mkurugenzi wa TALIRI Kanda ya Mashariki Dkt. Zabron Nziku (wa kwanza kushoto) wakijadili jambo na Bw. Paluku Emmanuel (aliyevaa kofia) Rais wa Kampuni ya ‘Afrint bio solutions’ inayojishughulisha na virutubisho asilia vya mifugo, uvuvi na kilimo wakiwa ndani ya banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, jijini Dar es salaam.