Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Wadau Wakutana kwa Warsha ya Mradi wa TDGG
25 Jun, 2026
Wadau Wakutana kwa Warsha ya Mradi wa TDGG

Wadau mbalimbali wakiwemo watunga sera, taasisi za serikali, watafiti, washirika wa maendeleo, wafugaji wadogo na wa kibiashara, vyama vya ushirika, wasindikaji wa maziwa pamoja na kampuni zinazojihusisha na uzalishaji wa vinasaba, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilika kwa siku ya kwanza ya warsha ya Mradi wa Kuboresha Vinasaba vya Ng’ombe wa Maziwa katika Ukanda wa Kitropiki (TDGG).