Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
PROF. KOMBA AKIWASILISHA MUHTASARI WA SEKTA YA MIFUGO NCHINI TANZANIA KWA WATAALAMU WA INTA
26 Nov, 2024
PROF. KOMBA AKIWASILISHA MUHTASARI WA SEKTA YA MIFUGO NCHINI TANZANIA KWA WATAALAMU WA INTA

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Prof. Erick Komba (wa katikati) akiwasilisha taarifa ya muhtasari wa sekta ya mifugo nchini Tanzania kwa wataalamu kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Teknolojia ya Kilimo ya Argentina maarufu kama INTA (Instituto Nacional de Tecnologia Agropecuaria) walipotembelea ofisi ya TALIRI Makao Makuu kwa ajili ya majadiliano juu ya uanzishwaji wa mradi unaotarajiwa kutekelezwa na TALIRI wa kuboresha teknolojia za ufugaji katika maeneo kame na nusu kame.