Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
24 Feb, 2025
HABARI PICHA

Picha mbalimbali zikimuonesha Mkurugenzi wa TALIRI Kanda ya Mashariki Dkt. Zabron Nziku (anaonekana picha ya kwanza) akiongoza watumishi wa kanda hiyo iliyopo Tanga kuvuna mbegu za malisho ya mifugo aina ya _Cenchrus ciliaris_ ambazo zitatumika baadae kuendelea kupanua mashamba ya malisho hayo kituoni hapo.