Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
24 Feb, 2025
HABARI PICHA

Picha ya pamoja ya wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa taasisi hiyo Prof. Erick Komba (wa katikati) wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kikao cha kujadili Mpango na Bajeti ya taasisi hiyo kwa mwaka 2025/2026 kilichofanyika ukumbi wa Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.