HABARI PICHA
24 Feb, 2025

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Prof. Erick Komba akifungua kikao cha kujadili maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Taasisi hiyo kwa mwaka 2025/2026 kilichofanyika Mkoani Morogoro katika ukumbi wa Hoteli ya Edema kilichohudhuliwa na wajumbe wa Timu ya Menejimenti ya taasisi hiyo.