HABARI PICHA
24 Feb, 2025

Picha mbalimbali zikionesha Timu ya Menejementi, Wakurugenzi wa Kanda na Maafisa Bajeti wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Prof. Erick Komba wakiwa kwenye kikao cha Maandalizi ya Mpango na Bajeti ya TALIRI kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Mkoani Morogoro katika ukumbi wa Hoteli ya Edema.