Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
01 Nov, 2024
HABARI PICHA

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Mifugo) Ndg. Abdul Mhinte akikabidhi simu kwa Maafisa Ugani wanaokusanya takwimu za kuboresha mbari bora za ng’ombe wa maziwa kupitia mradi wa ‘African Asia Diary Genetic Gain - AADGG’ unaotekelezwa na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Mifugo (ILRI)