Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
01 Nov, 2024
HABARI PICHA

Msimamizi wa Maabara ya lishe ya wanyama wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kanda ya Mashariki Valentino Urassa (aliyevaa gloves) akielezea matumizi ya baadhi ya vifaa vilivyopo ndani ya maabara hiyo kwa Viongozi wa Ubalozi wa Ireland Nchini Tanzania walipotembelea taasisi hiyo kwa lengo la kujionea namna inavyotekeleza mradi wa maziwa faida unaofadhiliwa na ubalozi huo.