Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
28 Oct, 2025
HABARI PICHA

Pichani ni watumishi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) pamoja na mkufunzi CPA Musti Khalfani (wanne kushoto) kutoka Wizara ya Ujenzi baada ya kupokea mafunzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Brand Hotel mkoani Dodoma juu ya Uandaaji wa Muongozo na Ripoti kuhusu masuala ya Taarifa Endelevu (Sustainability Reporting) Mafunzo haya yamelenga kuisaidia Serikali katika juhudi za kufikia malengo ya maendeleo endelevu 2030 (SDG 2030), taarifa hizo zitazingatiaw kuripoti maendeleo endelevu (IFRS S1) na uwazi katika kuripoti athari kwenye mazingira (IFRS S2)