Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
HABARI PICHA
01 Nov, 2024
HABARI PICHA

Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) Kanda ya Mashariki Dkt. Zabron Nziku (kushoto) akisalimiana na Naibu Mkuu wa Ushirikiano kutoka Ubalozi wa Ireland Nchini Tanzania Hellen Counihan (kulia) leo terehe 23/10/2024 mara baada ya kuwasili katika Ofisi za kanda hiyo zilizopo Mkoani Tanga kwa lengo la kujionea namna taasisi hiyo inavyotekeleza Mradi wa Maziwa Faida unaofadhiliwa na Ubalozi huo.