Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
MEI MOSI, SINGIDA 2025
12 May, 2025
MEI MOSI, SINGIDA 2025

Watumishi TALIRI ndani ya viwanja vya bombadia Singida katika kuadhimisha siku ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa imeadhimishwa Mkoani Singida.

Huku Mgeni rasmi akiwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Kauli mbiu; “Uchaguzi Mkuu 2025 utuletee Viongozi Wanaojali Haki na Maslahi ya Wafanyakazi, Sote Tushiriki”