Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
MAABARA YA UTAFITI WA MIFUGO ILIYOKARABATIWA KUTOKANA NA MRADI WA MAZIWA FAIDA
30 May, 2024
MAABARA YA UTAFITI WA MIFUGO ILIYOKARABATIWA KUTOKANA NA MRADI WA MAZIWA FAIDA

Watafiti wa kituo cha TALIRI Tanga wakielezea baadhi ya vifaa vinavyotumika maabara ya kufanyia tafiti mbalimbali za mifugo kwa wageni akiwemo Katibu Mkuu wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Prof Ridhiki Shemdoe na Balozi wa Ireland Tanzania Mhe. Mary O,Neill walipopita kukagua maabara hiyo katika hafla ya uzinduzi wa miundombinu ya kituo hicho iliyojengwa kupitia mradi wa maziwa faida unaofadhiliwa na ubalozi wa Ireland.