Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
WATAALAMU KUTOKA TALIRI WAKIENDELEA KUTOA ELIMU YA UFUGAJI BORA
21 Jul, 2025
WATAALAMU KUTOKA TALIRI WAKIENDELEA KUTOA ELIMU YA UFUGAJI BORA

Wataalamu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) wakiendelea kutoa elimu ya ufugaji bora wa mifugo kwa wadau wanaotembelea banda la taasisi hiyo lililopo ndani ya viwanja vya Mwl. J. K. Nyerere jijini Dar es salaam katika Maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba)

Maonesho hayo yanaenda sambamba na kauli mbiu isemayo “Maonesho ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) Fahari ya Tanzania”

#taliriutafitikwamaendeleo