Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
DKT. ROXANA AKIWASILISHA TAARIFA JUU YA TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI KATIKA MAENEO KAME NA NUSU KAME, TALIRI.
26 Nov, 2024
DKT. ROXANA AKIWASILISHA TAARIFA JUU YA TEKNOLOJIA ZA UFUGAJI KATIKA MAENEO KAME NA NUSU KAME, TALIRI.

Mtaalamu kutoka Taasisi ya Kitaifa ya Teknolojia ya Kilimo ya Argentina maarufu kama INTA (Instituto Nacional de Tecnologia Agropecuaria) Dkt. Roxana Ledesma akiwasilisha taarifa juu ya teknolojia za kuboresha
ufugaji katika maeneo kame na nusu kame nchini Argentina kwa wataalamu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) tarehe 22/11/2024 walipotembelea TALIRI akiambatana na wataalamu wengine kutoka INTA.