Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
MKURUGENZI TALIRI ASHIRIKI ZOEZI LA CHANJO YA MIFUGO
21 Jul, 2025
MKURUGENZI TALIRI ASHIRIKI ZOEZI LA CHANJO YA MIFUGO

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI), Prof. Erick Komba, akivuta chanjo kwa ajili ya kuchanja mifugo, wakati wa zoezi la Uhamasishaji, Utoaji Chanjo na Utambuzi wa Mifugo katika Kijiji cha Sangaiwe, Julai 3, 2025, Babati - Manyara.