Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
KIKAO CHA BAJETI
24 Feb, 2025
KIKAO CHA BAJETI

Ikiwa mchakato wa maandalizi ya Mpango na Bajeti ya Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) kwa mwaka 2025/2026 unaendelea leo tarehe 17/01/2025 wajumbe Timu ya Menejimenti ya TALIRI wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo Prof. Erick Komba wamefanya kikao cha kujadili maandalizi hayo katika ukumbi wa Hoteli ya Edema Mkoani Morogoro.