Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
KHERI YA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA
TALIRI inapenda kutoa shukrani za dhati kwa wafugaji na wadau wote wa sekta ya mifugo kwa kuendelea kutuamini na kushirikiana nasi katika kuendeleza sekta ya mifugo nchini. Tunaahidi kuendelea kutoa huduma bora, zenye ufanisi na zinazozingatia mahitaji ya wafugaji na wadau wa sekta ya mifugo.
Hakuna Taarifa kwa sasa