Wazili Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ng'ombe wa kisasa wakati alipotembelea banda la wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maonyesho ya nanenane yaliyofanyika kitaifa viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu 8.8.2019
Prof.Noel N. Kanuya akitoa mafunzo ya teknolojia za uhimilishaji na uhawilishaji kwa watumishi wa TALIRI Mpwapwa
Mkurugenzi Mkuu alipotembelea kituo Atamizi cha PASS/TALIRI. Alikuwa na vijana wajasiliamali walioanza unenepeshaji mbuzi ofisi mpya ya kituo Atamizi iliyojengwa na PASS
Wajumbe wa bodi ya TALIRI wakiwa na Sekretarieti ya Taasisi kwenye picha ya pamoja katika kushiriki kikao cha manejimenti ya TALIRI
Mkurugenzi Mkuu wa TALIRI Dkt. Eligy Mussa Shirima akimkaribisha mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji Mhe. Mahmoud Mgimwa (Mb) ilipotembelea Wakala wa vyuo vya mafunzo ya Mifugo nchini (LITA) na Taasisi ya Utafiti wa Mifugo nchini (TALIRI) zilizopo Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Elisante Ole Gabriel
Msimamizi wa maabara ya teknolojia za uhimilishaji na uhawilishaji akitoa maelezo mafupi juu ya teknolojia hizo kwa mwenyekiti na wajumbe wa kamati ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji; Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na maofisa wengine.
Mkurugenzi Mkuu wa TALIRI, alipotembelea Kituo cha TALIRI- Tanga, 13/07/2019, hapo akiongea na kutoa maagizo kwa watumishi kwenye shamba la malisho.