Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Miradi Inayoendelea

S/N

Jina la Mradi

Bajeti

Mfadhili

Muda wa Mradi

Eneo la Mradi

Msimamizi wa Mradi na Mawasiliano yake

Kituo Kinachotekeleza Mradi

Hatua ya Mradi

1

Greening the Dairy Value chain Tanzania (Maziwa Faida Project)

(Mradi wa kuboresha ufugaji wa ngómbe wa maziwa na mnyololo wa thamani wa maziwa kwa kuzingatia utunzaji endelevu wa mazingira)

€3m

Irish Aid / Ubalozi wa Ireland nchini Tanzania

2022-2026

Tanga katika Wilaya za Tanga jiji na Muheza 

Dr. Zabron Nziku

czabronn@gmail.com

zabron.nziku@taliri.go.tz

 

TALIRI Tanga

Unaendelea

2

Harnessing opportunities of dairy goat breeding for food and nutritional security of smallholder farmers in Tanzania

(Mradi wa  Kuboresha mbuzi wa maziwa kwa ajili ya fursa mbalimbali za kiuchumi na usalama wa lishe kwa wafugaji wadogo Tanzania)

TZS 40m

Ruzuku ya Serikali Kuu na Mapato ya Ndani ya TALIRI

2018-2025

Utafiti unaendelea ndani ya kituo

Dr. Zabron Nziku

czabronn@gmail.com

zabron.nziku@taliri.go.tz

 

TALIRI Tanga

Unaendelea

3 Tropical Poultry Genetic Solutions $ 275,329 Taasisi ya Bill na Melinda (via CGIAR/ILRI) 2023-2025 Kituoni, Lindi na Kilimanjaro

Dr Ezekiel Goromela

ezekiel.goromela@taliri.go.tz

egoromela2013@gmail.com

TALIRI Naliendele Unaendelea