Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Ng'ombe wa Nyama

Tunauza Mitamba ya ng'ombe bora wa nyama. Aina ya ng'ombe wa nyama tulionao ni;-

  1. Beef master x Mpwapwa
  2. Muse x Mpwapwa
  3. Muse x Boran
  4. Beef master x Boran
  5. Sahiwal x Mpwapwa x Boran
  6. Sahiwal x Mpwapwa
  7. Fipa
  8. Singida white x Mpwapwa
  9. Ankole
  10. Singida white
  11. Iringa red
  12. Bonsinara x Mpwapwa
  13. Muse x singida white