Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania

TALIRI Logo
Dira na Dhamira

DIRA

Kuwa Taasisi ya mfano katika utafiti wa mifugo inayochangia kuboresha maisha ya wakulima na wadau wengine.

DHAMIRA

Kubuni, kuendeleza, kusambaza na kukuza matumizi ya teknolojia zinazofaa kwa wadau ili kuboresha tija ya mifugo kwa uendelevu.